Unaweza kusema ni vita ya mdomo kati ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Akofu Josephat Gwajima, kama utakuwa na kumbukumbu wiki mbili zilizopita Makonda akiwa kwenye mahojiano na televisheni ya Star Tv alisikika akisema " Gwajima sio Askofu", Sasa Gwajima kupitia ibada yake ya leo Jumapili ya Juni 4, Amemjibu kila kitu na kumuita "Zero Brain".
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment