"Huhitaji kuwa Nabii kubashiri kuwa Mfumo wa Sasa wa Nchi yetu ni lazima ung'olewe ili kujenga Taifa imara lenye demokrasia na maendeleo endelevu ya watu wake. Haitoshi tu kusafisha mfumo, Mfumo unapaswa kung'olewa na kujenga mfumo mbadala unaoendeshwa na taasisi zilizojaa watu wenye weledi ( meritorious) na sio majuha ( mediocres )"- Ameandika Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook


No comments :
Post a Comment