Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Monday, July 31, 2017

Jumuiya ya Samail yaandaa kongamano la kiislamu!

Baadhi ya Watu kutoka Oman, ambao walihudhuria Kongamano la Kiislamu lililotayarishwa na Jumuiya ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, inayohusiana na dhamira ya kuanzishwa kituo hicho Kisiwani humo.
Baadhi ya Watu kutoka Oman, ambao walihudhuria Kongamano la Kiislamu lililotayarishwa na Jumuiya ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, inayohusiana na dhamira ya kuanzishwa kituo hicho Kisiwani humo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa ambazo , zimesajiliwa na taasisi hiyo ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, wakishiriki katika mdahalo huo uliotayarisha na jumuiya hiyo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa ambazo , zimesajiliwa na taasisi hiyo ya Samael Academy, iliopo Gombani Pemba, wakishiriki katika mdahalo huo uliotayarisha na jumuiya hiyo.
Muanzilishi wa Taasisi ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba, Sheikh Nasiri bin Said bin Ali, ( mwenye Joho) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa huko katika ukumbi wa Jumuiya hiyo Gombani Pemba.Baadhi ya Wanafunzi wanaolelewa na Taasisi ya Samael Academy , wakiwemo Mayatima ambao wanapatiwa huduma mbali mbali ikiwemo Elimu, wakijumuika na Watu mbali mbali katika Kongamano la Kiislamu lililoandaliwa na Taasisi hiyo huko katika ukumbi wa Taasisi hiyo Gombani Pemba,
Sheikh Jabir bin Mussa (Al-abry ) kutoka Oman , akizungumza na Waislamu waliohudhuria Kongamano hilo la Kiislamu lilioandaliwa na Taasisi ya Samael Academy , iliopo Gombani Pemba.

1 comment :

  1. eToro is the best forex trading platform for beginning and professional traders.

    ReplyDelete