Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 20, 2017

Kafulila Amvaa Zitto Kabwe!



Baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kuja juu na kutoa ya moyoni akionekana kutofurahishwa na taarifa iliyosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandaoni ikitokea Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwamba wanaitaka Jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada Tanzania kutokana na ukiukwaji wa Demokrasia mfano, kukamatwa kwa viongozi wa upinzani”

Zitto Kabwe aliandika “Huu ni uhayawani, hii ni nchi huru, kukaribisha wageni kuingilia mambo yetu ni upuuzi na umazwazwa, tupambane ndani kuleta demokrasia. NDANI”

Baada ya Zitto kuonyesha dhahiri msimamo wake, Basi Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini David Kafulila na Mwanachama wa CHADEMA amemjibu

No comments :

Post a Comment