dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, July 24, 2017

Lissu afikishwa Mahakamani!

Lissu afikishwa Mahakamani avimba na T-shirt ya Ukuta.

Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu afikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Saa 5 kuelekea Saa 6 Mchana.

Lissu alifikishwa Mahakamani hapo baada ya kulala Lumande kwa siku  tatu .

Lissu alipokuwa akishushwa kwenye gari ya maofisa wa Jeshi la Polisi alivua shati ambapo ndani alionekana kuonyesha T-shirt yenye maandishi ya Ukuta.

No comments :

Post a Comment