Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka ziwa Tanganyika.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt, John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821KJ.
Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821kj wakishangilia mara baada ya kukutana na kupiga picha kusalimiana naRais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli .
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisoma mabango baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwatuliza wananchi wakati akisoma mabango baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Umati wa wananchi uliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania DktJohn Pombe Joseph Magufuli katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment