dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 9, 2017

RC Makonda agoma kuomba msamaha Waandishi wa Habari!

Katika mkutano uliondaliwa na jukwaa la wahariri Tanzania Jijini Dar es salaam kati ya wahariri na Wandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ametanka hadharani kuwa hatoomba msamaha na wala haitakuja kutokea.

Kauli hiyo iliibua mjadala mkali kati ya Waandishi wa Habari na Paul Makonda, licha ya kauli hiyo Jukwaa la Wahariri Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Novatus Makunga wametamka kwa kauli moja kumfungulia Makonda kuanza kuandika Habari zake.

Licha ya uamuzi huo Bado waandishi wa Habari hawajaridhishwa na hatua hiyo kwakuwa walitaka Makonda atamke kwa kinywa chake kuiomba radhi tasnia nzima ya Habari.

No comments :

Post a Comment