Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, December 10, 2017

Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar!

Baadhi ya vikundi mbalimbali vya mazoezi vikishiriki katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
Mashirika Viongozi pamoja na Wananchi walishiriki katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
Viongozi mbalimbali walishiriki katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Mwanaidi Mohammed kushoto akitoa hotuba ya kumkaribiosha mgeni rasmi katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
Mgeni rasmi Muakilishi wa Jimbo la Kijitoupele Ali Suleiman Ali (Shihata) akitoa hotuba kuhusu udhalilishaji katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.Kushoto yake ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas na kulia yake ni Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Mwanaidi Mohammed.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana shehia ya Miembeni Ismail Abbas Mkubwa katikati akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi A Farida Juma Haji akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment