dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 9, 2017

Ufunguzi wa Kongamano la kitaifa la Utawala bora kisiwani Pemba!


Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Katiba , Sheria , Utumishi wa Umma na utawala bora wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Haroun Ali Suleiman, akifunguwa Kongamano la kitaifa la Utawala bora kwa Watendaji mbalimbali wa Serikali huko katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake Pemba.


Mkuu wa Wilaya ya Wete, Abeid Juma Ali, akielezea jambo katika Kongamano la kitaifa la utawala bora lillilofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake Pemba.

Picha na MARYAM TALIB -WIZARA YA K/SHERIA -PEMBA.

No comments :

Post a Comment