dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 21, 2018

Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani akutana na Walimu Wakuu, Wasaidizi wao na Madiwani!


Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, akiwa pamoja na Ofisa Elimu Wilaya hiyo , Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani katika kikao cha pamoja ikiwa ni taasisi zilizoingia katika Ugatuzi , kabla ya kuanza kwa kikao hicho


Baadhi wa Walimu wakuu, Wasaidizi Walimu wakuu na Madiwani wa Wilaya ya Mkoani Pemba, wakiwa katika katika kikao cha pamoja baina yao na Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla, Rashid,katika kukumbushwa wajibu wao na kutakiwa wafanye kazi kwa mashirikiano .


Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, akitowa nasaha zake kwa Watendaji walioingia katika Ugatuzi wa madaraka, ili waweze kufanyakazi kwa mashirikiano na kuliletea maendeleo Taifa na wananchi kwa ujumla.




PICHA NA KHADIJA KOMBO PEMBA.

No comments :

Post a Comment