zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 28, 2018

Msichana ajiua baada ya kukosea kutuma meseji!

Binti mmoja nchini Uingereza mwenye umri wa miaka 17, Charlotte Guy, 17, ameamua kujiua baada ya kukosea kutuma meseji na kwenda kwa mpenzi wake badala ya rafiki yake.Charlote ambaye alikuwa akimtumia rafiki yake meseji kwa kutumia snapchat akimwambia kuwa amelala na mwanaume mwengine, alikosea kutuma meseji hiyo na kwenda kwa mpenzi wake Jack Hurst  mwenye umri wa miaka 20.

Watu wa karibu wa wawili hao wamesema kwamba baada ya kufanya hivyo alimtumia meseji ya kumuomba radhi Jack na kumuaga ikisema ..”Kwa heri, tafadhali nisamehe, nakupenda, lakini kujua kuwa unanichukia inatosha”.

Baada ya hapo Jack alianza kumtafuta kwenye simu mpenzi wake huyo bila mafanikio na kuamua kuita polisi na kwenda chuoni kwao kumtafuta, na kukuta amejinyonga karibu na eneo la chuo alichokuwa akisomea masuala ya afya.

No comments :

Post a Comment