dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 17, 2018

Tisa Wauawawa Nigeria!

Magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria, wamewauwa watu tisa katika mashambulizi mawili yaliyotekelezwa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Boko Haram imeendelea kulaumiwa kote duniani na hatua zimeanza kuchukuliwa dhidi yake.Maafisa wa usalama wamethibitisha kutokea kwa mashambulizi hayo katika vijiji vya Jinene na Ngala katika jimbo la Borno.
Wapiganaji wa Boko Haram wamewauwa watu zaidi ya maelfu kwa kipindi cha miaka tisa sasa, na wengine zaidi ya milioni mbili kukimbia mkazi yao huku nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na mashambulizi ya Boko Haram

Kundi hili limekua likijihusisha na mauaji na kuwateka nyara watu katika maeneo mbalimbali ambapo watu kadhaa wakiwemo wanafunzi wasichana wa chibok wanaendelea kushikiliwa na kundi hilo katika eneo lisilojulikana mpaka sasa.

No comments :

Post a Comment