AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, February 28, 2018

ZITTO KABWE ATEMA CHECHE SHINYANGA..."NCHI HAIWEZI KUWA YA CHAMA KIMOJA LICHA YA NGUVU NYINGI KUUA UPINZANI"!

Kiongozi wa chama cha Act Wazalendo Taifa Zitto Kabwe, 
amewataka wanachama wa ACT Wazalendo kutotereka na hali ya siasa ambayo kuna ubinywaji wa demokrasia na kusisitiza kuwa nchi hii haiwezi kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja licha ya nguvu nyingi kutumika ya kuua upinzani.

KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 01 MARCH, 2018!

 


Mahakama yawaachia huru Wanachama wa Chadema!

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wanachama wa Chadema baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka yao pasipo kuacha shaka.

Washtakiwa walioachiwa huru na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba leo Jumatano Februari 28, 2018 ni; Sunday Urio, Kizito Damia, Joseph Samky, Chrisant Clemence,  Wilfred Ngowi, Karim Ally na Kinyaiya  Siriri.

TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAJIBU TUHUMA ZA MBOWE

 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesikia malalamiko yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambayo aliyawasilisha jana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Malalamiko yaliyotolewa na Mhe. Mbowe yametusikitisha kwa sababu mbali na kumjibu kwa barua, Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani aliongea na Mhe. Mbowe kwa njia ya simu. Madai kwamba tume haikuwajibu malalamiko yao sio kweli. Ni upotoshaji wa hali ya juu ambao haupaswi kufanywa na kiongozi kama yeye. 

Trump amtaja Parscale kama meneja wa kampeni zake za 2020!

Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020.

Brad Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump 2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo linalotajwa kumpa ushindi Trump.

Parscale atatumika katika kampeni za uchaguzi mdogo baadae mwaka huu, Trump anasema Parscale ni mtu sahihi na amekuwa akifanya kila kitu kwa uhakika wa hali ya juu.

DEADLIEST BULL FIGHT EVER!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 28 FEBRUARY, 2018!


Tuesday, February 27, 2018

CAMBODIAN COUNTRY-SIDE KIDS!


‘FREEZING’ DINOSAURS!

A dinosaur park is seen affected by freezing weather and snowfall in Belgrade, Serbia, on Monday.

Shakira pays $24.6 million tax to Spain!


ICE FALLS!


A duck looks at icicles at a pond in Bern, Switzerland, on Monday.

Taliban calls for talks with US!


Indonesia digs up cemetery to look for WWII sailors’ bones!


ICY GLIDE!

Gulls fly during a windy winter day near Lake Leman in Geneva, Switzerland, on Monday.

800-million-year-old stone on show!

Visitors to the Muscat International Book Fair were witness to a rare object: an 800-million-year-old granite rock.
“It is the oldest rock we have in Oman. It was found on the Kahwan Mountain in Al Sharqiyah Governorate,” said Ayman al Shouily, Oman Geological Society, which has displayed the rock.

YA MHE. SUGU YAMKUTA MWENGNE EGYPT!


German court paves way for diesel driving bans!

German cities can impose diesel driving bans to combat air pollution.
A top German court on Tuesday ruled that cities can impose diesel driving bans to combat air pollution, in a landmark decision that could shake up the auto industry and upend transport policies.

Indians invest Dh83.65 billion in Dubai property in 5 years!

  • They are the largest foreign investor group in Dubai's real estate.
Indian nationals, who form the largest foreign investor group in Dubai's real estate, bought properties worth Dh83.65 billion in the last 5 years - from 2013 to 2017 - in Dubai's property sector, according to statistics compiled by the Dubai Land Department (DLD).

Facebook launches bid to help boost newspaper subscriptions!

A conference worker passes a demo booth at Facebook's annual F8 developer conference, in San Jose, California.
  • Facebook recently took steps to enable publishers to encourage paid subscriptions directly from the social network.
Facebook on Tuesday announced a $3 million pilot project aimed at helping US newspapers boost paid digital subscriptions.

Moon to get first mobile phone network next year!

  • Vodafone said it had appointed Nokia as its technology partner to develop a space-grade network.
The moon will get its first mobile phone network next year, enabling high-definition streaming from the lunar landscape back to earth, part of a project to back the first privately funded moon mission.

US threatens action against Iran!

  • The Russian veto was a defeat for the United States.
The United States threatened unilateral action against Iran on Monday after Russia vetoed a western bid for the United Nations Security Council to call out Tehran for failing to prevent its weapons from falling into the hands of Yemen's Houthi group.

ZANZIBAR YAZIDI KUNG'ARA KIMATAIFA


Hili ndio taifa la kwanza Afrika kujiunga na mkataba wa maji!

Chad imekuwa taifa la kwanza barani Afrika nje ya kanda ya Ulaya kuridhia mkataba wa ulinzi na matumizi ya mipango ya rasilimali ya maji na maziwa ya kimataifa unaosimamiwa na tume ya Uchumi ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Ulaya (UNECE).

Baada Ya MBOWE, MNYIKA Na MDEE kuhojiwa Polisi leo.....


Breaking News: Kiringo Apandishwa Tena Mahakamani Haya Ndio Maamuzi Ya M...!

PIA ONA:


SPORTPESA KUKARABATI NYUMBA YA MADAKTARI ZANZIBAR!

Picha ya pamoja kati ya (Baadhi ya wawakilishi/Uongozi wa SportPesa Tanzania) na uongozi wa Kizimkazi mkunguni mara baada ya kuzindua na kukabidhiwa mradi wa kujenga nyumba ya madaktari pichani, Kizimkazi Mkunguni, mkoa wa kusini, Zanzibar. Nyumba hizo zinatarajiwa kuchukua takribani miezi sita mpaka kukamilika na kukabidhiwa rasmi kwa uongozi wa Kizimkazi. 

MACHIFU WA MBEYA WAJAJUU!


Bomba Tv Zanzibar : SMZ yatoa ufafanuzi kuhusu umiliki wa Ardhi Zanzibar


Msanii Maarufu Tanzania Diamond Akabidhi Hati za Kuazisha TVna Redio Wasafi Zanzibar!




WATALII WAVUTIKA NA VINYONGA WA AJABU NUNGWI


Family announces Sridevi's funeral arrangements in Mumbai!


  • Sridevi's body was flown to Mumbai from Dubai on a special flight on Tuesday afternoon.
The body of late Indian actress Sridevi was on Tuesday flown to Mumbai on a special flight. Her funeral will be held on Wednesday, the family has announced.

MLA VIWEMBE APEWA SOMO NA DAKTARI


Headset helps you lose weight, bike locks itself: Top 5 gadgets take centrestage at MWC!

A host holds a mobilephone used to lock a Bisecu Smart Bike Lock on a bycicle.

A man wears a Modius headset device that stimulates the part of the brain known to control fat storage, metabolism and appetite.

From headsets that help you lose weight without dieting to a smart meat thermometer, here are five eye-catching devices on display at the Mobile World Congress, wireless industry's biggest conference which got under way on Monday in Barcelona.
[1] Tired of bending down to lock your bike? A team of South Korean engineers have developed a small circular device that is installed on the hub of the front wheel and is connected to the owner's smartphone via Bluetooth.
When the bike owner stops riding and walks away, the device - dubbed Bisecu - automatically locks itself. When the rider returns, it detects that too and it will unlock.
Any thief who tries to ride off with the bike would find the front wheel frozen in position - and a 100 decibel alarm would also be triggered and the owner notified on their phone that the bike is being tampered with.
[2] British startup Neurovalens presented a headset that generates a low-level electrical pulse which sends a signal to the brain to burn fat and lose weight.
The company's head Jason McKeown said 80 per cent of those who have used the Modius headset have lost weight. It comes with an app that allows you to track your progress.Knowing how long to cook meat can be tricky, and you often need to check the oven multiple times to make sure you don't overcook it.
[3] The Meater, a wireless meat thermometer about the width of a standard pen, lets you monitor how your meat is doing from an app on your phone.

It works like any other meat thermometer, except it communicates with your phone via Bluetooth or Wi-Fi.

"The app has been designed to monitor the internal temperature of the oven or barbecue and the internal temperature of the meat," said Matt Blyden, Meater's marketing manager.

"You chose on the app how you would like the meat cooked, whether it is rare, medium or well done, and the app tracks the temperature. When it nearly gets to that point it beeps on your phone."
[4] Can I really pierce this wall or is there a pipe behind it? 3D imaging company Vayyar has developed a sensor that uses radio waves to "see" through materials.

Stick the sensor on your mobile and when you place your handset on the wall, what is behind it appears on the screen.

"It is almost like a new kind of camera that opens up capabilities that were not there before," said Vayyar director of marketing Malcolm Berman.
[5] US firm Vuzix presented its latest augmented reality glasses which connect to your smartphone, allowing text messages to appear before your eyes as you walk through the streets.

The glasses can also give you directions via GPS on the screen and if you want to take a picture you don't need to take out your phone.

Just tap the side to open the photo app, look at what you want to photograph and the glasses take the snapshot.

Kauli ya kwanza ya Mbowe toka uchaguzi wa marudio


Drunk dad kisses son's wife at wedding in front of guests!

  • The couple's family urged internet users to not spread rumours.
A Chinese father in an inebriated state grabbed his new daughter-in-law and kissed her in front of his son and several guests present at the wedding event. The man created uproar after the video was circulated on social media which shows him walking on the stage with his daughter-in-law when he suddenly holds her waist from behind and gives an intimate kiss.

IGP Sirro atoa onyo kwa wanaotumia Mitandao vibaya!

MKUU wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, amewaonya baadhi ya watu wanaohamasishana kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu kufanya maandamano bila kufuata utaratibu uliopo na kwamba kitendo hicho ni kinyume cha sheria za nchi.

IGP Sirro amesema hayo akiwa Bariadi Mkoani Simiyu wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ambapo ameonya harakati zenye kuhatarisha amani ya nchi huku akitoa wito kwa wazazi kuendelea kujenga malezi bora kwa watoto wao.

Hata hivyo IGP Sirro amewataka askari wa Jeshi hilo kote nchini kuhakikisha wanafanya kazi zao kwa kufuata misingi ya sheria na taratibu za nchi ikiwa pamoja na kuhakikisha wanatenda haki kwa wananchi wanaowahudumia na kutokujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na kudhibiti matishio ya aina yeyote yatakayojitokeza.

Mbowe, Mnyika na Mdee Walivyoripoti Polisi Leo


MKE APIGWA NA MUMEWE KISHA KUTIWA MWIKO KWENYE NYETI ZAKE.


Museveni atoa siri Katiba kurekebishwa!

Rais Yoweri Museveni amefichua siri kwamba uamuzi wa kurekebisha Ibara ya 102 (b) ya Katiba kwa dhati ulifanywa baada ya kuchokozwa na wanasiasa wa upinzani.

Rais Ramaphosa atangaza baraza la Mawaziri Jipya!

Rais Cyril Ramaphosa Jumatatu ametangaza Baraza la Mawaziri jipya mabadiliko yaliyotarajiwa tangu alipoteuliwa na kuapishwa kushika wadhifa huo aliochukua baada ya mtangulizi wake, Jacob Zuma kujiuzulu.

AJITOSA BAHARINI KUTOKA KATIKA BOTI YA KILIMANJARO 5


WABUNGE WENGINE 13 WANAKABILIWA NA KESI MAHAKAMANI!

Hukumu ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kutumikia kifungo cha miezi mitano jela, inaweza kuhamia vichwani mwa baadhi ya wabunge wanaokabiliwa na mashtaka mbalimbali.

DIAMOND PLUTNUMZ AKABIDHIWA RASMI LESENI YA WASAFI YV NA WASAFI FM!


Hatimaye
Bosi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Diamond Platinumz amepata leseni ya kuziweka hewani redio na televisheni za Wasafi zilizobatizwa jina la ‘Wasafi Radio na Wasafi TV’.

MBOWE: MUSIBA NI MPUMBAVU, WALIYEMTUMA NI HAWA HAPA


LAZARO NYALANDU ATUPIA UJUMBE WENYE UTATA FB...'NYUMBA YA URITHI HAIBOMOLEWI'!

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kusema kuwa nyumba ya urithi haiwezi kubomolewa na kudai kuwa tofauti za kisiasa, ukabila na dini haiwezi kuwa sababu kwa nyumba ya urithi kubomolewa.

Nyalandu amesema hayo kupitia mtandao wake wa Facebook akiwa nchini Kenya na kudai Utu, amani, haki, heshima ndiyo mshikamano wa Watanzania wote bila kujali tofauti za kisiasa wala dini zao. 

Bill Cosby's daughter Ensa dies aged 44!

Bill Cosby arrives on the sixth day of jury deliberations of his sexual assault trial at the Montgomery County Courthouse on 17 June 2017 in Norristown, Pennsylvania.

Image copyrightAFP
Image captionEnsa Cosby defended her father last year after he was accused of drugging and sexually assaulting a woman
Ensa Cosby, the daughter of comedian Bill Cosby, has died aged 44, a spokesman for the family says.
She died from a kidney disease in Massachusetts on Friday, according to spokesman Andrew Wyatt.
Last year, she defended her father when he went on trial over allegations he drugged and sexually assaulted a woman in 2004.

KIRINGO ASOMEWA MASHTAKA MAWILI KESI KUENDELEA KESHO (TUESDAY)!


FATMA KARUME ACHEKA KAULI HII YA MAGUFULI KUHUSU KESI


ENDING VERSES OF QAF (Powerful)


RIYADH: Saudi King replaces top military commanders in shake-up!

  • The King replaced the heads of the ground forces and air defences, as well as civilian officials.
Custodian of the Two Holy Mosques, King Salman bin Abdulaziz of Saudi Arabia on Monday replaced top military commanders including the chief of staff, state media said, in a major shake-up of the Kingdom's defence establishment.

Sridevi's death: Dubai Public Prosecution begins probe!

  • The investigation into her death began in the wee hours of Sunday morning.
On Saturday evening, India's first female superstar Sridevi Boney Kapoor Ayyappan drowned in the bathtub of room number 2201 at the Jumeirah Emirates Towers Hotel in Dubai.

RIYADH: Saudi appoints first female deputy minister of labour!

  • Dr. Tamader bint Youssef Al Rammah has been appointed deputy minister of labour and social development.
Custodian of the Two Holy Mosques, King Salman bin Abdulaziz of Saudi Arabia, reshuffled some of the Kingdom's top military officers and several deputy ministers on Monday in a broad shakeup seen as elevating younger officials in key economic and security areas.

Zijue faida sita za kutumia Maji ya Uvuguvugu Nyakati za usubuhi!

Inawezekana unatumia kikombe cha chai  au kikombe cha  kahawa kila siku asubuhi, wengi wao hutumia maji ya kawaida ili kuanza siku vizuri. Hivi vitu vimekuwa ndio tabia ya kila siku , hata hivyo wachunguzi wanasema kunywa maji ya uvuguvugu  asubuhi wakati tumbo halina kitu unapata faida  za kiafya zaidi.

News Alert - N.Korea, Russia, China Needs Carrots & Big Stick


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 27 FEBRUARY, 2018!




Monday, February 26, 2018

BALOZI SEIF AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA POLISI ZANZIBAR NA BAADAYE AKUTANA NA MABALOZI DR. SLAA NA MBOWE!

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kulia akizungumza na Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar Mohamed Haji Hassan alipofika Ofisini kwake Vuga kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Balozi wa Tanzania Nchini Sweeden Dr. Wilbrod Slaa Kushoto akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika yeye na Mwenzake Balozi Muhidin Ali Mboweto anayekwenda Nigeria walipofika kuaga rasmi. Kati kati yao ni Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Nigeria Muhidin Ali Mboweto.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kati kati akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Muhidin Ali Mboweto Kushoto na Balozi wa Tanzania Nchini Sweeden Dr. Wilbrod Slaa Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.