Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 3, 2018

Viongozi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Pemba wakagua mashamba ya mpunga yanayoingia maji chumvi!

SHEHA wa Shehia ya Makoongwe Wilaya ya Mkoani, Silima Haji Hassan, akitoa maelezo juu ya mashamba ya mpunga yanayoingia maji chumvi, wakati viongozi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Pemba na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Pemba, wakiongozwa na Msaidizi wa Makamu wa Pili Pemba, Amran Massoud Amran walipokagua maeneo hayo.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MRATIB wa Tasaf Pemba Mussa Said akitoa mapendekezo yake juu ya upandaji wa miti ya Mikoko na miti ya juu, katika moja ya mashamba ya mpunga yanayoingia maji chumvi, huko katika kisiwa cha Makoongwe Wilaya ya Mkoani.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments :

Post a Comment