Viongozi wa Iran, Urusi na Uturuki wanakutana mjini Ankara kujadili hali ya Syria ambapo Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ni mwenyeji wa washirika hao katika mgogoro wa Syria ambao ni Rais wa Iran Hassan Rohani, na rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Mkutano huo ni mwendelezo wa mchakato wa Astana, ambao haujumuishi Marekani na unakinzana na mazungumzo ya Umoja wa Mataifa.
Mchakato huo uliozinduliwa na nchi hizo tatu mwezi Januari 2017, uliwezesha kufikiwa makubaliano kuhusu kutengwa kwa “maeneo manne yanayokabiliwa na vita” nchini Syria.

No comments :
Post a Comment