Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, April 22, 2018

Sheria mpya kwa wamiliki na wapenzi wa ndege zisizokuwa na rubani!

Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani nchini Saudi Arabia amewattolea wito wanaomiliki ndege zisizokuwa na rubani  kujisajili na kuomba ruhusu ya kumiliki ndegeg hizo.Msemai huyo wa wizara ya mambo ya nje amesema kuwa kusajiliwa kwa wamiliki wa ndege hizo kutatoa fursa kwao kuwekewa maeneo ambayo ndege zao zitakuwa zikiruhusiwa kuruka.

Uamuzi huo umechukuliwa baada ya masaa kadhaa kushambuliwa ndege isiokuwa na rubani na jeshi la Polisi ilioruka pembezuni mwa karsi ya mfalme mjini Riyadh Jumamosi kumkia Jumapili.

Tukio hilo lilipelekea uvumi wa jaribio la mapinduzi na kuyumbishwa usalama Saudi Arabia.

No comments :

Post a Comment