Top Leaderboard Advert

Zacadia Patreon

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, May 12, 2018

Mhe. Balozi Amina Salum Ali Azindua Vibenchi Vya Kusomea Chuo cha IPA Tunguu Zanzibar!

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akihutubia Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi IPA Tunguu wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Vikalio kwa ajili ya kusomea Wanafunzi wa Chuo hicho vilivyojengwa kupitia Ufadhili wa Kampuni ya PennyRoyal Zanzibar Limited kupitia Mradi wake wa Blue Amber.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Tunguu Zanzibar. 
No comments :

Post a Comment