AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, May 31, 2018

UJumbe wa Saudi Arabia wakutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Misaada,Daawa na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh, akifuatana na Ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Misaada,Daawa,na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na MiongozoMhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kushoto)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Ujumbe wake,(katikati) Mkalimani wa lugha) Sheikh Khalid Mohammed Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipofuatana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na Miongozo 
Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kushoto) 
baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake,(hawapo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na Miongozo 
Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao akifuatana na Ujumbe wake,(hawapo pichani),[Picha na Ikulu.] 30/05/2018.

No comments :

Post a Comment