MKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (zssf) Bi. Sabra Issa Machano kulia akimkabidhi msaada wa Vifaa vya Usafi Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleima (katikati) na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Hospitali ya Wazazi Mnazi mmoja Zanzibar, ikiwa na sherehe za kutimia miaka 20 ya ZSSF
MKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhui ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra Issa Machano (kulia) akimkabidhi mashuka Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman , ZSSF imekabidhi vitanda 13 na mashuka yake na vifaa vya usafi kwa hospitali hiyo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 20 ya kuazishwa kwa mfuko huo, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Hospitali hiyo Mnazi Mmoja Zanzibar
No comments :
Post a Comment