Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali za wabunge leo wakati wa kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba akizungumza jambo na Mbunge wa Babati Mjini Mhe.Pauline Gekul wakati wa kikao cha saba cha mkutano wa kumi na mbili cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola akimskiliza Mbunge wa Bunda Mjini Mhe.Ester Bulaya leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jitegemee wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.
Picha zote na Idara ya Habari-MAELEZO.
No comments :
Post a Comment