Elly Cooper mkazi wa DMV akiwa na Rais mstaafu awamu ya nne Mhe. Jkaya Kikwete siku ya Ijumaa Aug 31, 2018 Elly Cooper alimpomtembelea ofisini kwake Masaki jijini Dar. Elly Cooper yupo Tanzania kwa likizo fupi.
Elly Cooper akipata picha ya pamoja na Rais mstaafu awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete siku ya Ijumaa Aug 31, 2018 siku Elly Cooper alipomtembelea ofisini kwake Masaki jijini Dar.
No comments :
Post a Comment