Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, ametuma salamu za rambirambi kwa walioathiriwa na mkasa wa kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere.
Amesema anaombolewa na Watanzania kipindi hiki kigumu na kumuomba Mungu awape nguvu wote walioathiriwa, pamoja na raia wote wa Tanzania.


No comments :
Post a Comment