Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaban akizingumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar kuhusiana na uzinduzi wa Mfumo wa Uimarishaji wa usajili wa taarifa vitambulisho vya Mzanzibar (ZAN ID) na Ofisi za Wilaya na Mkoa uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika tarehe 4-9-2018 katika Wilaya ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja.
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaban, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika Wilaya ya Kati Dunga. Mkoa wa Kusini Unguja.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Monday, September 3, 2018
UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment