Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 28, 2018

Bank ya NMB awi la Zanzibar waandaa warsha kwa mawakala wake zaidi ya 65 kwenye ukumbi wa ZSSF Kariakoo mjini Zanzibar jana!


Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar, Hassan Khamis Hafidh akifungua warsha. Kushoto ni Daniel Mbaga kutoka makao makuu ya NMB DSM, Wapili kulia ni Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi na Ofisa uhusiano wa NMB Bank, Batuli Suna.
Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi akitoa cheti kwa mmoja wa mawakala washiriki wa warsha hiyo jana.
Mawakala wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa warsha.

Mawakala wakipata chakula baada ya warsha.

Picha na Martin Kabemba

No comments :

Post a Comment