Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 25, 2018

Jay Z na Beyonce waingiza US Dollar 253.5m kwenye Tour yao!

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Jay Z na mkewe, Beyonce wameingiza US Dollar 253.5m  kwenye tour yao, On the Run II.

Kwa muijibu wa Billboard kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya tiketi 2,177,000 (zaidi ya milioni mbili).

Jay Z na Beyonce wamefanya show 18 Ulaya na 30 Marekani, tour ya kwanza ya On the Run kwa mwaka 2014 iliingiza US Dollar 109.6m ambapo waliuza tiket 980,000.

No comments :

Post a Comment