Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 30, 2018

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Msimu wa Mwaka 2018/2019 Kati ya Zimamoto na Mafunzo ,Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungano 0-0.!


Wapenzi na Vionfozi wa ZFA wakifuatilia Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya Zimamoto na Mafunzo mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana mchezo uliofanyika saa 8 mchana.
Mchezaji wa Timu ya Zimamoto na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.0-0. 












/Othman Maulid.

No comments :

Post a Comment