Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mo Dewji amewahakikishia mashabiki wa klabu ya Simba kuwa Uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo utakamilika kama alivyopanga ili kutimiza ahadi yake. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mo Dewji amesema anafanya hivyo kumalizia ujenzi wa uwanja huo ili utumike hata kama yeye asipokuwepo duniani. Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Wednesday, October 24, 2018
Mo Dewji awahakikishia kukamilika kwa uwanja mashabiki wa Simba!
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mo Dewji amewahakikishia mashabiki wa klabu ya Simba kuwa Uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo utakamilika kama alivyopanga ili kutimiza ahadi yake. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mo Dewji amesema anafanya hivyo kumalizia ujenzi wa uwanja huo ili utumike hata kama yeye asipokuwepo duniani.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



No comments :
Post a Comment