Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama walioongozana na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana Oktoba 15, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana Oktoba 15, 2018.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment