Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 3, 2018

Serikali yafunguka kuhusu zoezi la vitambulisho vya Uzanzibar!




Wakala wa usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar unaendelea na zoezi la kuimarisha Taarifa za Wananchi zilizomo katika Mfumo wake wa Vitambulisho vya Uzanzibari katika maeneo mbalimbali ya mji wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt Hussein Shaaban amesema zoezi hilo linaendea chini ya Sheria namba 3 ya 2018.

Taarifa hiyo imefafanua kwamba zoezi hilo lilianza katika Mkoa wa Kusini Unguja siku ya tarehe 08.09.2018 na linaendelea katika Wilaya ya Mjini tangu tarehe 29.09.2018.

Amesema zoezi hilo linahusu kuimarisha taarifa kwa wote wenye vitambulisho vya uzanzibari mkaazi pamoja na waombaji wapya na Wanaobadilisha sheria.

Akitoa ufafanuzi kuhusu zoezi hilo Dkt Hussein amesema Waombaji wapya watahitaji kuwa na vielelezo vyaukaazi kutoka kwenye shehia yao mpya pamoja na vyeti vyao vya kuzaliwa.

No comments :

Post a Comment