Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 24, 2018

Umoja wa Afrika watoa tamko kuhusu kifo cha Jamal Khashoggi!

Umoja wa Afrika watoa tamko kuhusu kifo cha Jamal Khashoggi katika tangazo lake lililotolewa Jumanne na  muakilishi wake Kwesi Quartey. Katika tamko hilo imetajwa kuwa kifo cha Khashoggi ni jambo la kukemewa.

Katibu msaidizi wa Umoja wa Afrika Kwesi Quartey  amefahamisha  hayo katika mkutano ulioandaliwa  na balozi wa Azerbaijan na kuhudhuriwa  na wanadiplomasia.Mwanahabari huyo wa  jarida la Washington Post  alipotea tangu Oktoba 2 baada ya kuonekana kwa mara ya mwşsho akiingia katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul.

Baada ya uchunguzi ulioendeshwa na jeshi la Polisi la Uturuki, Saudia ilikiri kuwa mwanahabari huyo aliuawa katika ubalozi wake ikiwa zaidi ya siku 15  ikidai kuwa aliondoka katika ubalozi huo.

Hadi sasa muili wa Khashoggi haujulikani ulipo. Siku ya kifo cha Khasho watu 15 kutoka Saudia waliwasili mjini Istanbul na kuondoka siku hiyo hiyo.

No comments :

Post a Comment