Na.Thabit Madai,zanzibar.
Hali ya Upatikanaji wa huduma ya mafuta ndani ya visiwa vya Zanzibar imekuwa ya Tabu kutokana na kile kinachodaiwa kuharibika kwa meli mbili zinazotumika kuleta mafuta visiwani humo.
Meli hizo ni United spirit pamoja na Mt Ukombozi ambapo zote mbili kwa sasa zimesitisha huduma zipo matengenezo.Kwa muujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa Wananchi hivi Karibuni na Mkurugenzi wa Mamlaka ya udhibiti wa huduma ya mafuta na maji Zanzibar (zura) Haji Kali haji amesema Hali hiyo ya uhaba na upatikanaji wa huduma hiyo inatokana na kuharibika kwa meli zinazotumika kuingizia mafuta visiwani humo.Aidha alisema matarajio ya Zura ni kuwa upatikanaji WA huduma hiyo utaendelea kuwa katika hali ya kawaida kwani jitihada mbali mbali zinachkuliwa ikiwemo kuagiza meli ya East Wind kuleta mafuta kutoka bandari ya Mombasa nchin kenya.
Alisema meli hiyo ilifanikiwa kuleta Tani elfu moja na mianne a disel tarehe 24 mwezi huu huku ikitarajiwa kurudi Tena na mafuta toka mombasa kwa Mara ya pili.
Hata hivyo alisema Mamlaka inawaomba radhi wananchi kutokana na usumbufu unaozidi kujitokeza na kuwasisitiza kutosikilza taarifa zisizokuwa rasmi zinazoweza leta taharuki.
Hali ya uhaba wa upatikanaji WA nishati mafuta umeanza hivi karibuni mara baada ya kushuhudiwa kwa utiaji WA saini mkataba WA makubaliano ya mgawanyo WA uzalishaji WA mafuta na gesi baina ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na serikali ya Ras kheima.

No comments :
Post a Comment