Rais wa Ukraine Petro Poroshenko ameiomba Nato kutuma meli kwenda bahari ya Azov kufuatia makabiliano yaliyotokea kati ya Ukraine na Urusi nje ya Crimea.
Poroshenko aliliambia gazeti la Ujerumani Bild kuwa anaamini kuwa meli hizo zitapelekwa "kuisaidia Ukraine na kuweka ulinzi".
Siku ya Jumapili Urusi ilivamia meli tatu za Ukraine na kuwashika mabaharia wake kutoka Kerch strait.
Nato imesema inaunga mkono Ukraine ambayo si mwanachama wake.
Siku wa Jumatano Rais wa Urusi Vladimir Putin alimlaumu Bw Poroshenko kwa kuanzisha uhasama wa baharini ili kujiongeze umaarufu kabla ya uchaguzi wa mwaka 2019.
Rais Poroshenko alitanga sheria ya kijeshi sehemu za mpaka wa Ukraine kwa siku 30 kama jibu kwa mzozo huo.

No comments :
Post a Comment