Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 23, 2018

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU ZANZIBAR!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimfungua mkutano huo wa Baraza la Biasha la Taifa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu leo,21/11/2018.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. leo 21/11/2018
BAADHI ya Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo leo Ikulu Zanzibar.

No comments :

Post a Comment