Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa suala la kulipa kodi hali chama.
Rais Magufuli amegawa vitambulisho hivyo leo Jumatatu Disemba 10, alipokuwa katika mkutano wake na viongozi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wakuu wa mikoa ambapo amesema vitambulisho hivyo ni maalumu kwa wafanyabiashara ambao mtaji wao hauzidi Sh. milioni nne.
" Suala la kulipa kodi halina chama , uwe CCM lipa kodi, uwe Chadema lipa kodi, uwe CUF lipa kodi, uwe mchungaji lipa kodi uwe shekhe lipa kodi, suala la kodi ni Kodi hata Yesu alisema ya Kaisali mpe Kaisali mtu anapopewa kazi ya kukusanya kodi akifeli mahali ni out," amesema Rais Magufuli

No comments :
Post a Comment