Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, April 23, 2019

PEMBA: TANGAZO LA KAMBI YA UPASUWAJI!


UONGOZI WA HOSPITAL YA WILAYA YA CHAKE CHAKE INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA ZANZIBAR NA TANZANIA KWA UJUMLA KWAMBA IKISHIRIKIANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA WORLD ASSOCIATION OF MUSLIM YOUTHS  (WAMY) KUTOKA NCHI ZA KIARABU WATAENDESHA KAMBI YA UPASUAJI KUANZIA TAREHE 27/04/2019 HADI TAREHE 03/05/2019 ITAKAYOFANYIKA KATIKA HOSPITAL YA CHAKE CHAKE.


MAGONJWA YA WANAWAKE,WATOTO WENYE MATATIZO KTK NJIA YA MKOJO NA KOKWA ZILOPANDA,WATOTO WENYE KUKOJOA TUNDU MBILI NA WANAUME  WENYE MATATIZO YA TENZI DUME, UVIMBE WA SHINGO(GOITA) NA MATATIZO MENGINE YA UPASUAJI.


PIA MADAKTARI HAO WATAONA NA KUTOA USHAURI KWA WASIOHITAJI UPASUAJI.
HUDUMA HII ITATOLEWA BURE. 


Kwa Maelezo zaidi wasiliana na:
 Dr.Khatib (MOI)
Chake chake hospital
(0776041420)
Dr. Atik
Camp Coordinator
Chake chake hospital
(0777604630)

No comments :

Post a Comment