Rais mpya wa TLS Dkt. Rugemeleza Nshalla ameita serikali kufanya upelelezi wa haraka ili kuwatia nguvuni waliompiga risasi Mhe. Tundu Lissu. Dkt. Nshala akihutubia mara baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS, amesema kitendo Cha Lissu kupigwa risasi na serikali kukaa kimya ni kuieleza dunia kuwa Tanzania we are not civilized.
Matokeo ya uRais wa TLS (2019 - 2020)
1. Gasper NM - kura 58.
2. G. Washington - kura 123.
3. S. Ngwilimi - kura 354.
4. J.B. Seka - kura 29.
5. Dr. R Nshala - Ashinda kwa kura 647.

No comments :
Post a Comment