Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, July 29, 2019

JAMANI, SERIKALI IPO WAPI, WANANCHI WANATESEKA HAWA!

Neema ,19, mkazi wa kijiji cha Erri Wilaya ya Babati, anaumwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye mkono wake wa kulia unaoendelea kuongezeka kila siku. Neema anayeishi na mama yake, Greater Raphael baada ya baba yake mzazi kufariki, amekuwa na wa huzuni kila kukicha kutokana na maumivu anayoyapata kwenye mkono wake huku ukimlemea kutokana na nyama zilizoning'inia.

No comments :

Post a Comment