Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, July 31, 2019

Rubani awachangisha abiria mchango wa mafuta!

Huko Tunisia rubani wa shirika la ndege la Irak awachangisha abiria mchango wa mafuta ili ndege iweze kuruka.Tukio hilo la kushangaza limetokea katika uwanja wa ndege wa Kartaca.

Mara baada ya ndege hiyo ya abiria ya shirika la ndege la Irak kujaza mafuta uwanjani. Pesa ya kulipia mafuta hayo haikuwepo.

Mamlaka ya uwanja huo ikazuia ndege hiyo kuruka, Hapo ndipo rubani wa ndege hiyo alipoamua kutumia njia ambayo si ya kawaida kwa kuwachangisha abiria dola elfu 3 ili kuweza kulipia mafuta hayo.
Abiria waligoma kuchangia ndipo Ubalozi wa Irak nchini Tunisia ulipoingilia kati na kulipia gharama hiyo. Baada ya kulipa pesa hiyo ndege hiyo iliondoka ikiwa imechelewa.

No comments :

Post a Comment