dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, August 26, 2019

INASIKITISHA: Idadi ya waliofariki ajali ya Lori la mafuta yafikia 102!

Idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya moto wa lori la mafuta mkoani Morogoro imefikia 102 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufariki dunia Agosti 23, 2019.

"Katika majeruhi wa moto 13 waliobaki Muhimbili 7 wapo ICU, 6 wapo wodi ya kawaida, "amesema leo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Muhimbili, Aminieli Aligaesha.

No comments :

Post a Comment