dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 26, 2024

KUH: ZANZIBAR DIASPORA ID CARDS!


 https://portal.zanzibardiaspora.go.tz/#/signup

Kabla ya yote, ili kupata ZAN DIASPORA ID CARD kutoka Ikulu, Zanzibar, unatakiwa ujitayarishe na vitu vifuatavyo:
[1] Passport yako ya Tanzania ya  zamani
[2] Namba yako ya IF ambayo unaipata kwenye gamba la passport yako   ya 
       zamani
[3] Jina lako kamili kwenye passport yako ya sasa (Current       
        Immigration Status)
[4] Next of kin yaani ndugu/jamaa yako wa damu ambae anaishi Zanzibar hivi   
        sasa.
Hii NEXT OF KIN  inamasuala mengi. 
Next of kin anaweza kuwa baba, mama, kaka, dada, babu na bibi.
Kuhusu next of kin inatakiwa uwe na haya yafuatayo:
[a] Jina lake kamili
[b] Tarehe yake ya kuzaliwa
[c] Uhusiano wenu ulivyo
[d] Contacts zake Zanzibar
[e] NIDA/ZAN ID namba yake
[f] Picha ya ID yake ya NIDA/ZAN ID/ Diaspora ID/ au Passport yake
Zaidi unatakiwa uwetayari na:
[5] Picha yako - passport size
[6] Picha ya passport yako ya nchi unayoishi
[7] Birth certificate yako 
[8] Uwe na email address inayofanya kazi.
[9] Chochote kile chengine kinachoonesha kama wewe umehusiana na Zanzibar - yaani kama School Living Certificate ya Primary, Secondary au College au kitu chengine chochote kile.

Kama unaishi Canada na kama unataka msaada au maelekezo zaidi basi usichelee kupiga simu namba zifuatazo:1.416.438.7857/416.994.6422/647.453.3856
au andika email: <info@new.zacadia.com>

No comments :

Post a Comment