dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 28, 2019

Iran yatupilia mbali majadiliano na Ufaransa!

Serikali ya Iran, imetupilia mbali ombi la Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kujadili mpango wa makombora ya nyuklia wa nchi hiyo.

Kulingana na kituo cha habari cha Iran kinayoendesha matangazo kwa lugha ya Kiingereza utawala wa Tehran uliripoti kwamba pendekezo la Emmanuel Macron la mazungumzo ya mpango wa kombora la nyuklia umekataliwa.
Baada ya kujiondoa kwa makubaliano ya nyuklia mnamo Mei 8, 2018, na kisha kurudisha vikwazo katika hatua mbili mnamo Agosti 7 na Novemba 4, 2018, mvutano katika Ghuba ya Uajemi umeongezeka na mvutano kati ya Washington na Tehran umeongezeka mara mbili.

Macron, amekuaakiujaribu kupunguza mvutano unaokua kati ya Washington na Tehran wakati Iran ilipoanza kutozingatia ahadi zake katika makubaliano ya nyuklia tangu Mei 8.

Macron alitoa maoni kadhaa kwa Waziri wa Mambo ya nje wa Iran Mohammad Cevad Zarif, ambaye alitembelea Paris hivi karibuni.

Emmanuel Macron ameomba kufanyike mazungumzo.

No comments :

Post a Comment