dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 28, 2019

Majimbo 19 Marekani yampinga Rais Trump!

Majimbo 19 ya Marekani pamoja na mji mkuu wa Washington yanapanga kufungua shauri la kisheria dhidi ya mipango ya serikali, kuwaweka watoto kwenye kizuwizi kwa muda usio na kikomo wakati maombi yao ya hifadhi yakihakikiwa.

Mwansheria mkuu wa jimbo la California, Xavier Becera, amemkosoa Rais Donald Trump kwa kupuuza muda wa mwisho uliokubaliwa na mahakama, wa kuwazuwia watoto kwa siku zisizopungua 20.
Amesema hatua zinazotaka kuchukuliwa na serikali ya Trump ni kinyume na sheria. Serikali ya Marekani ilitangaza hapo awali kwamba familia zinazoingia Marekani kinyume cha sheria zitashikiliwa vizuwizini kwa wakati wote wa kushughulikia maombi yao ya hifadhi.

No comments :

Post a Comment