dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, August 25, 2019

Mwanaume afunga ndoa na kibonzo!

Mwanaume mwenye umri wa miaka 35 kutoka Japan, Akihiko Kondo alistaajabisha wengi mwaka Jana Novemba baada ya kufunga ndoa na muhusika wa michezo ya video ya vibonzo aliyemtamani kwa zaidi ya miaka 10 na wala si binadamu mwenzake.

Mke wa Akihiko, ambaye ni wazo tu, ni muhusika katika filamu ya michoro ya vibonzo anayeitwa Miku.

Ndoa ya Akihiko na Miku ilihudhuriwa na wageni 39 huku Miko akivalia gauni jeupe la harusi naye Akihiko akivaa koti jeupe. Kwa sasa Miku anaishi kwenye glasi katika kabati iliyopo kwenye kona ya nyumba.

No comments :

Post a Comment