Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Denmark hapa nchini Mette Norgaard Dissing Spandet Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Denmark hapa nchini Mette Norgaard Dissing Spandet mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Angola hapa nchini Sandro Renato Agostinho De Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Angola hapa nchini Sandro Renato Agostinho De Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe Balozi mteule wa Zimbabwe hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Sanjiv Kohli Balozi wa India hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Zimbabwe hapa nchini Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment