dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, August 27, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA HOTELI YA KITALII YA NYOTA TANO YA MADINAT AL BAHR MBWENI ZANZIBAR!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii Zanzibar yenye hadhi ya nyota tano ya Madinat Al Bahr. Bwana Rustamali Merani Shivji, wakati wakitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Ndg. Rustamali Merani Shivji, alipokuwa akitembelea baadhi ya vyumba vya hoteli hiyo, ilioko maeneo ya Mbweni Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Madinat Al Bahr ilioko mbweni Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Madinat Al Bahr ilioko mbweni Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi.(Picha na Ikulu)
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Iddi Haji Makame, akitowa taarifa ya kitaalam, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii yenye hadhi ya Nyota Tano ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya viongozi na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla katika ufungfuzi wa Hoteli ya Kitalii ya Madinat Al Bahr mbweni Zanzibare.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Fedsha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Madinat Al Bahr mbweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment