dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 17, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA PIPE INDUSTRIES ENEO LA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM LEO!

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Wakurugenzi Wakuu wa Pipe Industries Co. Limited Bw,. Seif A. Seif na Nassor A. Seif pamoja na viongozi na wadau wengine pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kiwanda chao cha kutengeneza mipira na mabomba ya plastiki eneo la Vingunguti jijini Dar es salaam leo Septemba 16. 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Wakurugenzi Wakuu wa Pipe Industries Co. Limited Bw,. Seif a, Seif na Nassor A. Seif baada ya kufunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kiwanda chao cha kutengeneza mipira na mabomba ya plastiki eneo la Vingunguti jijini Dar es salaam leo Septemba 16. 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya kazi za uzalishaji za Pipe Industries Co. Limited akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Wakurugenzi Wakuu wa kiwanda hicho Bw,. Seif A. Seif na Nassor A. Seif pamoja na viongozi na wadau wengine pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kiwanda chao cha kutengeneza mipira na mabomba ya plastiki eneo la Vingunguti jijini Dar es salaam leo Septemba 16. 2019.

 PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment