Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 17, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE ZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA UWANJA WA NDEGE WA KIA!

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Rada mbili za kuongozea Ndege katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere na Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa KIA katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Viongozi wengine kwenye picha ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe, Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini Fredrick Clavier 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Rada mbili za kuongozea Ndege katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere na Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa KIA katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) Hamza Johari kuhusu utendaji kazi wa Rada hiyo mpya ya kuongozea ndege.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Ufaransa hapa nchini Fredrick Clavier mara baada ya kuzindua mfumo wa Rada za kuongozea Ndege katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya vitendea kazi katika kituo cha Mfumo wa Rada cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuzindua mfumo wa Rada za kuongozea Ndege katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Msanii Hamonize ambaye alitumbuiza kabla ya uzinduzi wa mfumo wa Rada za kuongozea Ndege katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Msanii Hamonize ambaye alitumbuiza kabla ya uzinduzi wa mfumo wa Rada za kuongozea Ndege katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere 
 Muonekano wa Kituo cha Mfumo wa Rada za kuongozea Ndege katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere 

PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment