zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 26, 2019

Rais Donald Trump kuchunguzwa, Spika wa Bunge aeleza!

Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi ametangaza rasmi uchunguzi dhidi ya Rais Donald Trump kwa madai ya kuhusisha rais mwenza wa Ukraine katika njama nyingine ya uingiliaji wa uchaguzi wa Marekani.

Rais Trump anakisiwa kutaka Rais Volodymyr Zelensky Ukraine kuchunguza biashara kati ya mwana wa mgombea urais kupitia chama cha Democrat Joe Biden na kampuni ya mafuta ya Ukraine.

“Leo natangaza rasmi kwamba uchunguzi wa madai haya yataanza mara moja. Lazima Rais achunguzwe,” alisema Pelosi ambaye ni mbunge anayetoka California.
Kwa upande wake Trump ametupilia mbali madai hayo akisema kwamba hakuna yeyote ambaye ana nakala ya mazungumzo hayo ya simu kati yake na rais wa Ukraine.

No comments :

Post a Comment