Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 24, 2019

Aliyegundua dawa ya Artemisinin apewa tuzo na UNESCO!


Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limetangaza orodha ya washindi wa tuzo ya kimataifa ya utafiti wa sayansi ya maisha, kwa ajili ya mashirika au watu waliotoa mchango muhimu katika kuboresha ubora wa maisha ya watu.

Orodha ya mwaka huu ina watu watatu akiwemo Tu Youyou wa China aliyegundua dawa ya Artemisinin, na kuokoa maisha ya mamilioni ya watu.
Takwimu zinaonesha kuwa dawa ya Artemisinin imepunguza kiwango cha vifo kutokana na Malaria kwa asilimia 66, na kiwango hicho kwa watoto wenye umri wa miaka 5 kwa asilimia 71 barani Afrika.

No comments :

Post a Comment