Waziri wa fedha wa Ufaransa Bruno Le Maire amesema leo kuwa Umoja wa Ulaya utaweka vikwazo dhidi ya bidhaa za Marekani iwapo suluhisho halitafikiwa pamoja na Washington kuhusu mzozo wa biashara kuhusiana na ruzuku inayotolewa na Umoja huo kinyume na sheria katika tasnia ya usafiri wa anga.
Le Maire aliwaambia waandishi habari pembezoni mwa mkutano wa mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya mjini Luxembourg kuwa utawala wa Marekani unapaswa kutambua kuwa iwapo hakutakuwa na suluhisho Ulaya haitakuwa na uchaguzi ila kuchukua hatua na kuweka vikwazo.

No comments :
Post a Comment